Erzurum (Kiarmenia: Կարին Karin) ni mji uliopo mashariki mwa Anatolia, Uturuki. Jina la Erzurum linatokana na Kiarabu, yaani, Arz-u Rûm (maana yake Nchi ya Waroma).
Mji wa Erzurum, una wakazi wapatao 361,235 (kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000). Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Erzurum, ambao ni jiji kubwa katika Mkoa Mashariki wa Uturuki ya Anatolia. Mji upo katika mita 1757 (futi 5766) kutoka juu ya usawa wa bahari na mji wenye hali ya baridi sana.
[1]
Cet objet a été écrit en langue (Kiswahili سَوَاحِلي), cliquez sur l’icône

pour l’ouvrir dans la langue originale !
Kipengee hiki kimeandikwa kwa lugha ya (Kiswahili سَوَاحِلي), bonyeza ikoni

kufungua kipengee katika lugha ya asili!
Cet article a été consulté 2,749 fois
Écrivez votre commentaire à propos de cet article !