Erzurum (Kiarmenia: Կարին Karin) ni mji uliopo mashariki mwa Anatolia, Uturuki. Jina la Erzurum linatokana na Kiarabu, yaani, Arz-u Rûm (maana yake Nchi ya Waroma).
Mji wa Erzurum, una wakazi wapatao 361,235 (kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000). Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Erzurum, ambao ni jiji kubwa katika Mkoa Mashariki wa Uturuki ya Anatolia. Mji upo katika mita 1757 (futi 5766) kutoka juu ya usawa wa bahari na mji wenye hali ya baridi sana.
[1]
Este artículo ha sido escrito en (Kiswahili سَوَاحِلي) Lenguaje, haga clic en el icono de

para abrir el artículo en el idioma original!
⚠️ Not specified T1_44
Este artículo ha sido visitado veces 2,539
Escriba su comentario sobre este artículo!