کوردیپیدیا پر اطلاعترین منبع اطلاعاتی کردی است!
درباره کوردیپیدیا
آرشیویست های کوردیپیدیا
 جستجو
 ارسال
 ابزار
 زبانها
 حساب من
 جستجو بدنبال
 ظاهر
  حالت تاریک
 تنظیمات پیش‌فرض
 جستجو
 ارسال
 ابزار
 زبانها
 حساب من
        
 kurdipedia.org 2008 - 2026
کتابخانه
 
ارسال
   جستجوی سریع
تماس
کوردیی ناوەند
Kurmancî
کرمانجی
هەورامی
English
Français
Deutsch
عربي
فارسی
Türkçe
עברית

 بیشتر...
 بیشتر...
 
 حالت تاریک
 نمایش اسلاید
 اندازه فونت


 تنظیمات پیش‌فرض
درباره کوردیپیدیا
آیتم تصادفی
قوانین استفادە
آرشیویست های کوردیپیدیا
نظرات شما
گرد آوریها
کرونولوژیا از وقایع
 فعالیت ها - کوردیپیدیا
کمک
 بیشتر
 نامنامەی کردی
 روی جستجو کلیک کنید
آمار
مقالات
  587,242
عکس ها
  124,625
کتاب PDF
  22,130
فایل های مرتبط
  126,973
ویدئو
  2,194
زبان
کوردیی ناوەڕاست - Central Kurdish 
317,688
Kurmancî - Upper Kurdish (Latin) 
95,893
هەورامی - Kurdish Hawrami 
67,781
عربي - Arabic 
44,355
کرمانجی - Upper Kurdish (Arami) 
26,813
فارسی - Farsi 
15,977
English - English 
8,539
Türkçe - Turkish 
3,843
Deutsch - German 
2,040
لوڕی - Kurdish Luri 
1,785
Pусский - Russian 
1,145
Français - French 
359
Nederlands - Dutch 
131
Zazakî - Kurdish Zazaki 
95
Svenska - Swedish 
80
Español - Spanish 
61
Italiano - Italian 
61
Polski - Polish 
60
Հայերեն - Armenian 
57
لەکی - Kurdish Laki 
39
Azərbaycanca - Azerbaijani 
35
日本人 - Japanese 
24
Norsk - Norwegian 
22
中国的 - Chinese 
21
עברית - Hebrew 
20
Ελληνική - Greek 
19
Fins - Finnish 
14
Português - Portuguese 
14
Catalana - Catalana 
14
Esperanto - Esperanto 
10
Ozbek - Uzbek 
9
Тоҷикӣ - Tajik 
9
Srpski - Serbian 
6
ქართველი - Georgian 
6
Čeština - Czech 
5
Lietuvių - Lithuanian 
5
Hrvatski - Croatian 
5
балгарская - Bulgarian 
4
Kiswahili سَوَاحِلي -  
3
हिन्दी - Hindi 
2
Cebuano - Cebuano 
1
қазақ - Kazakh 
1
ترکمانی - Turkman (Arami Script) 
1
گروه
فارسی
زندگینامە 
7,139
اماکن 
4,248
احزاب و سازمان ها 
51
منتشر شدەها 
17
تصویر و توضیحات 
366
آثار هنری 
264
تاریخ و حوادث 
18
نقشه ها 
32
اماکن باستانی 
445
کتابخانه 
874
تحقیقات مختصر 
795
شهدا 
1,006
انفال شدگان 
169
مدارک 
81
ایل - قبیله - فرقه 
24
آمار و نظرسنجی 
14
بازی های سنتی کوردی 
1
تصویری 
17
شعر 
171
مسائل زنان 
4
دفترها 
25
موزه 
43
حیوانات کوردستان 
173
مخزن فایل
MP3 
1,508
PDF 
34,784
MP4 
4,044
IMG 
235,392
∑   مجموعا-همەباهم 
275,728
جستجوی محتوا
Nezami Ganjavi
گروه: زندگینامە
زبان مقاله: Kiswahili سَوَاحِلي -
اطلاعات کوردیپیدیا از هر جا و مکانی برای همە جا و همە وقت میباشد.
اشتراک گزاری
Copy Link0
E-Mail0
Facebook0
LinkedIn0
Messenger0
Pinterest0
SMS0
Telegram0
Twitter0
Viber0
WhatsApp0
ارزیابی مقالە
نایاب
عالی
متوسط
بد نیست
بد
اضافه کردن به مجموعه
نظر خود را در مورد این مقاله بنویسید!
تاریخ آیتم
Metadata
RSS
به دنبال تصویر رکورد انتخاب شده در گوگل
به دنبال رکورد انتخاب شده در گوگل
کوردیی ناوەڕاست - Central Kurdish0
Kurmancî - Upper Kurdish (Latin)0
English - English0
عربي - Arabic0
فارسی - Farsi0
Türkçe - Turkish0
עברית - Hebrew0
Deutsch - German0
Español - Spanish0
Français - French0
Italiano - Italian0
Nederlands - Dutch0
Svenska - Swedish0
Ελληνική - Greek0
Azərbaycanca - Azerbaijani0
Catalana - Catalana0
Čeština - Czech0
Esperanto - Esperanto0
Fins - Finnish0
Hrvatski - Croatian0
Lietuvių - Lithuanian0
Norsk - Norwegian0
Ozbek - Uzbek0
Polski - Polish0
Português - Portuguese0
Pусский - Russian0
Srpski - Serbian0
балгарская - Bulgarian0
қазақ - Kazakh0
Тоҷикӣ - Tajik0
Հայերեն - Armenian0
हिन्दी - Hindi0
ქართველი - Georgian0
中国的 - Chinese0
日本人 - Japanese0
Nezami Ganjavi
Nezami Ganjavi
Nezami Ganjavi (jina kamili: Hakim Jamal al-Din Abu Muhammad Elias bin Yusuf bin Zaki bin Muayyid Nezami Ganjavi) ni mshairi mashuhuri wa Iran.

=KTML_Bold=Maisha
Kuzaliwa kwake na malezi=KTML_End=
Alizaliwa katika mji wa Ganja mwaka 535 Hijria. Baadhi ya wanahistoria wanaeleza kuwa, mshairi huyo kazaliwa pembezoni mwa mji wa Qum ulioko nchini Iran. Jamaluddin Abu Mohammad hakuweza kupata upendo wa wazazi wake kwa muda mrefu; kwani wazazi wake walifariki dunia akiwa bado mtoto na kupata malezi akiwa mtoto yatima. Ushahidi wa kihistoria unaonyesha kuwa, Nezami Ganjavi hakuwahi kuondoka katika mji wa Ganja akiwa bado na umri mdogo, na alipofikia marika ya ujana, aliweza kujifunza sanaa na ujuzi mbalimbali na hatimaye alikuwa na ufasaha wa kuzungumza na kuandika lugha za Kiarabu, Kiajemi na Kipahlavi. Waandishi na wanahistoria hawakubaliani kuhusu tarehe ya kuzaliwa na kifo chake, lakini katika kazi zake zilizobaki za ushairi wanakubaliana kimtazamo. Baadhi wanaamini alizaliwa katika eneo la Ganja, lakini wengine wanasema alizaliwa magharibi ya nyanda za juu za Iran. Lakini kile kinachokubaliwa na wanahistoria wote ni kuwa, kwa miaka mingi aliishi katika mji wa Ganja hadi ulipomkuta umauti wake.

=KTML_Bold=Wazazi wa Nezami Ganjavi=KTML_End=
Kuna tofauti za maoni kuhusu kuzaliwa kwa baba wa mshairi Nezami Ganjavi, na baadhi ya vyanzo vinaeleza kuwa anatoka Tafresh au Farahan. Lakini Behrouz Thorotian (mtafiti wa fasihi, mwanasayansi na profesa mstaafu) anaeleza kuwa, mwanzo wa beti za mashairi ya Layla na Majnoon, zinaonyesha kuwa alikuwa na asili ya Kiajemi. Ameendelea kusema kuwa, ubeti wa 36 wa shairi la Leyla na Majnoon, unafichua kazi na nafasi ya mshairi ambaye alikuwa Dehqan yaani “mkulima” na kuitambulisha jamii yake kuwa ni Muajemi. Kwa Wairani neno Dehqan mkulima linamaanisha mmiliki wa ardhi ya kilimo; malenga Ferdowsi naye katika beti zake amefafanua kuwa, tafsiri ya neno hilo lilitumika baadaye kwa Wairani wote. Kwa kuongezea, neno Dehqan mkulima lilitumiwa pia kwa maana ya mwanahistoria. Kwa hivyo, inaweza kueleweka kuwa Nezami Ganjavi anajitambulisha kama malenga, mkulima wa Iran, mwanahistoria, muimbaji wa mashairi na mmiliki wa ardhi ya kilimo. Wakulima wamekuwa na jukumu la kuhifadhi tamaduni na historia ya Iran katika kipindi cha Kiislamu, na kwa ufupi, familia ya Nezami Ganjavi inaweza kuchukuliwa kuwa familia ya wakulima wenye ufahamu wa kitamaduni na utajiri wa mali ambao wamekuwa na nafasi muhimu katika fasihi. Nezami Ganjavi alikuwa mshairi mashuhuri, mwandishi wa riwaya, mwenye hekima na ambaye amekuwa na ushawishi mkubwa katika fasihi ya Kiajemi na daima ametajwa kuwa mtu muhimu katika historia.

=KTML_Bold=Mke na watoto=KTML_End=
Kuna mazungumzo mengi yaliyosemwa kuhusu mke na watoto wake, lakini kila mtu ana hakika kwamba mke wake alifariki dunia wakati wa uhai wa mshairi huyo na alikuwa na mtoto wa mmoja wa kiume anayeitwa Muhammad.

=KTML_Bold=Historia yake na kazi zake=KTML_End=
Nezami ni bingwa wa mshairi anayepaswa kuzingatiwa kwenye mihimili na nguzo za ushairi wa Kiajemi. Yeye ni mmoja wa malenga aliyekuwa na kipaji cha kuandika mashairi na kuyasoma kwa sauti nzuri, iliyowavutia wasikilizaji. Ingawa hekaya na simulizi za hadithi za Kiajemi hazikuanzishwa na Nezami, lakini gwiji huyo anahesabiwa kuwa ni mshairi pekee aliyeweza kuendeleza ushairi wa mafumbo kwa kiwango cha juu zaidi kufikia mwisho wa karne ya sita. Nezami aliweza kujiwekea nafasi maalumu katika fasihi ya lugha ya Kifarsi inayotumika Iran na ametumia takriban miaka thelathini ya maisha yake akitunga mkusanyiko wake wa mashairi yanayoitwa Hazina Tano au Khamseh.

=KTML_Bold=Hazina Tano (Khamseh)=KTML_End=
Mkusanyiko huu una mashairi matano marefu, ambayo ni:

Makhzan al-Asrar
Khosrow na Shirin
Lalya na Majnoon
Haft Peykar
Iskander Nameh

Kitabu cha kwanza kati ya dafina na hazina tano ya vitabu vyake kinaitwa Hazina ya Siri, kimesheheni beti za mashairi zinazokaribia 2260, na mashairi hayo ameyapa jina la Fakhruddin Bahram Shah bin Dawood mfalme wa Arzangan. Mkabala wake, Fakhruddin Bahram Shah alimzawadia Nezami dinari 5,000, kutokana na shairi hilo. Kitabu cha pili kati ya hazina na dafina tano ni shairi la Khosrow Shirin ambalo limetungwa na ujazo wake ni wa beti 6500. Kitabu cha tatu ni cha Layla na Majnoon ambacho ni maarufu duniani, kimesheheni beti 4700 za mashairi. Kitabu cha nne, kati ya hazina tano kimepewa jina la Bahram au Kuba Saba, kina jumla ya beti 5136 za mashairi. Kitabu cha tano, kati ya hazina tano kimepewa jina la Eskandar. Mjumuiko wa mashairi ya Eskandar una jumla ya beti 10500, na kimegawanyika katika sehemu mbili. Sehemu ya kwanza ameipa jina la Sharafnameh na sehemu ya pili ameipa jina la Iqbalnameh. Katika sehemu ya kwanza, Nezami anamtambulisha Eskandar kama mshindi mkuu na katika sehemu ya pili, anamtambulisha kama mtu mwenye hekima. Kitabu hicho kilikamilika mnamo mwaka 599 Hijria na kupewa jina la Nusrat al-Din Abu Bakr Muhammad Jahan Pahlavan. Pia, mkusanyo wa mashairi yaliyosalia kutoka kwa Nezami ni pamoja na mashairi ya sauti vipande ambavyo vina nafasi maalumu katika fasihi ya Kiajemi. Ingawa umaarufu mwingi wa Nezami unatokana na kutunga mashairi ya mapenzi, yenye hekima na sahili. Kwa maneno mengine, mashairi yake ni rahisi lakini ya kina, na mashairi yake yalikuwa yanamfanya mtu kufikiria na kutafakari kwa kina ili kupata siri iliyofichwa katika maneno yake. Kuna jumbe nyingi za kifalsafa ambazo zimeelezwa kwa kutumia maneno mepesi na fasaha, badala ya kutumia maneno magumu na mazito. Nyingi za beti zake za mashairi zilikuwa zikielezea maisha ya akhera, sanjari na kuyafurahia maisha mafupi ya ulimwenguni.

Kwa bahati mbaya, hakuna wasifu sahihi ulioandikwa wa mshairi na malenga huyu wa Kiirani Nezami Ganjavi. Nezami Ganjavi anajulikana kama mwanahekima stadi katika karne ya sita kutokana na kubobea na ujuzi wake mkubwa wa sayansi ya kiakili ya wakati ule kama vile Elimu ya Nyota, Mantiki, Falsafa, Sheria (Fiqh), Qurani Tukufu, Hadithi na Lugha ya Kiarabu. Wanahistoria wanaeleza kuwa, Nezami Ganjavi hakuwahi kufanya safari yoyote nje ya eneo la Ganja, bali ilipotimia mwaka 581 Hijria, malenga huyo alifanya safari ya umbali wa kilomita 50 kutoka Ganja kwa mwaliko wa mtawala Ghezel Arsalan wa Seljuk, na huko alipewa heshima kubwa na mtawala huyo.

Nezami Ganjavi na Khaghani walikuwa malenga na washairi wa zama zao. Ingawa watu hao hawakuwahi kuonana, walitunga mistari na beti za mashairi zinazoelezea adhama na sifa muhimu za maadili. Washairi hao wawili walikuwa na mahusiano na mashirikiano mazuri kati yao.

Nezami Ganjavi anaweza kuchukuliwa kuwa mmoja wa washairi bora wa fasihi ya Kiajemi, na hakuwa mwenye kujipendekeza kwa wafalme kwa kuandika maisha yao binafsi. Hii haimaanishi kwamba hakuwataja wafalme wake katika kazi zake; ingawa pia yeye hakuwa mshairi wa mahakamani na wala hakuandika mashairi kwa ajili ya kupata mishahara, bali kwa minajili ya kupata thawabu. Hata hivyo, aliweka wakfu kazi zake nyingi kwa wafalme au katika mji wa Ganja. Bila shaka Nezami alikuwa mtu wa busara, mwenye ujuzi kamili wa fani ya elimu ya nyota na unajimu, athari hizo zinashuhudiwa na kuonekana katika kazi zake. Nezami Ganjavi alikuwa hodari wa kutumia istilahi za kawaida na za mafumbo katika kazi zake, na anaposimulia hadithi , huwa ni rahisi kueleweka kwa watu wanaosikiliza. Miongoni mwa washairi wa lugha ya Kiajemi, Nezami ni maarufu katika mashairi yake ya upendo. Khosrow Shirin, Layla na Majnoon ni miongoni mwa kazi bora na nzuri zaidi zinazoonyesha upendo na mapenzi katika zama zake. Imeelezwa kuwa, ushairi wa Nezami ulikuwa sahili na fasaha, lakini wakati mwingine ulikuwa ukitumia maneno ya Kiarabu kupita kiasi, uhamishaji wa kanuni na misingi ya hekima, mafumbo na sayansi ya kimantiki na kiakili, kumeufanya ushairi na usemi wake wakati fulani kuwa mgumu; hata hivyo hakusita kuendelea na majukumu yake, balina aliendelea kutumia mchanganyiko wa maneno kwa uangalifu mkubwa katika kufanya kazi hii ya sanaa.

Ganjavi alikuwa mahiri katika kubuni na kutafuta semi, maneno na muundo mpya maalumu unaoendana na kusifu hali halisi na shakhsia; sifa ambazo hakuwa nazo mshairi mwingine yeyote yule katika zama zake. Ubunifu na uhodari aliokuwa nao Nezami Ganjavi katika kutunga mashairi, kulileta msisimko mkubwa kwa washairi wengine na kulazimika kufuata athari zake. Wako washairi na malenga wengi ambao waliamua kufuata athari za Ganjavi. Malenga mkubwa wa kwanza kabisa aliyeamua kumfuata Nezami Ganjavi katika utaratibu wa (hazina tano) alikuwa Amir Khosrow Dehlavi, na washairi wengine wakubwa kama akina Khajavi Kermanijami, Hatefi, Vahshi Bafghy na Azeri Bigdeli.

=KTML_Bold=Mashairi Mengine=KTML_End=
Mbali na hazina tano na mashairi ya kasida, anayo pia mashairi ya sauti. Nezami ana mashairi kadhaa ambayo ameyaandika ambayo yana mvuto wa kimawaidha na kihekima. Malenga huyo pia alijikita pia katika misingi ya elimu ya Irfaan, alikuwa zuhudi na kupelekea wafalme kumpa heshima yake, pindi wanapokutana. Alifanikiwa kuwaandikia wafalme beti elfu ishirini za mashairi, na hivi sasa kiasi kikubwa cha beti hizo bado zingalipo. [1]
این مقاله بە زبان (Kiswahili سَوَاحِلي) نوشته شده است، برای باز کردن آیتم به زبان اصلی! بر روی آیکون کلیک کنید.
⚠️ Not specified T1_44
این مقاله 1,023 بار مشاهده شده است
نظر خود را در مورد این مقاله بنویسید!
هشتگ
منابع
[1] سایت | Kiswahili سَوَاحِلي | Wikipedia
آیتم های مرتبط: 23
زبان مقاله: Kiswahili سَوَاحِلي
تاریخ تولد: 00-00-1840
درگذشته: 00-00-1915 (75 سال)
جنسیت : مرد
در قید حیات هستند؟: خیر
زبان- لهجە: فارسی
زبان- لهجە: عربی
محل اقامت: خارج از کشور
مکان وفات: اذربایجان
نوع شخص: شاعر
کشور - اقلیم (مکان تولد): اذربایجان
فراداده فنی
کپی رایت صادر شده به کوردیپیدیا!
کیفیت مورد: 99%
99%
این مقاله توسط: ( شادی آکوهی ) در تاریخ: 12-08-2024 ثبت شده است
این مقاله توسط: ( هاوری باخوان ) در: 12-08-2024 بازبینی و منتشر شده است
این مقاله برای آخرین بار توسط: هاوری باخوان در 12-08-2024 بروز شده است
آدرس مقالە
این آیتم با توجه به استاندارد كوردیپیدیا هنوز نهایی نشده است و نیاز بە بازنگری متن دارد.
این مقاله 1,023 بار مشاهده شده است
QR Code
  موضوع جدید
  آیتم تصادفی 
  مخصوص خانمها 
  
  انتشارات کوردیپیدیا 

Kurdipedia.org (2008 - 2026) version: 17.17
| تماس | CSS3 | HTML5

| مدت زمان باز کردن صفحه: 0.282 ثانیه